Tuesday, March 10, 2015




Tunaongea na kijana ambaye amepata zaidi ya milioni 550 za kibongo baada ya kushinda big brother Africa 2014, nini maoni yake kuhusu mafanikio?,je atasaidiaje vijana wengine bongo ambao bado hawajatoka? je yeye na Mh January Makamba ilikuwaje wakafanya birthday pamoja? hayo na mengine angalia hapa..kipindi kinaruka TBC 1 kila jmosi saa 3:30 usiku na marudio saa * mchana Jtatu..jiunge na Page yetu hapa youtube kupata kuangalia video zote.
Tupo instagram,facebook na twitter @mawazohuru au @anganile


0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.