Sunday, April 19, 2015


Jana Kila Kona kwenye mitandao kulizuka habari kuwa Hussein Machozi Amefariki Dunia kitu ambacho kumbe hakikua Kweli ..Msikilize Hussein Machozi Kwa Mara ya Kwanza akiongelea Tukio hilo na Pia habari ya yeye kukimbia Kenya Baada ya Kufumaniwa na Mke wa Mwanasiasa wa Kenya Hotelini Wakibanjuka....... Bongo Fuse TV Inakuletea Uhondo Huo Hapa Chini: Bonyeza Play
19 Apr 2015

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.