Thursday, September 17, 2015


https://youtu.be/SZ7RDnQ-erE

Huu ni wimbo mpya wa HUSSEIN MACHOZI ..wimbo huu unazungumzia MIRATHI ..HUSSEIN MACHOZI ameamua kuvaa uhusika katika wimbo huu kama mtu aliechaguliwa kusoma husia ulio andikwa na marehemu,,HUSSEIN MACHOZI alitimuliwa na wahusika ambao waliokua wakitaka kudhulumu MALI ambazo zinawahusu familia ya marehemu…ENJOY THE GOOD MESSAGE..

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.